Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?


Kugeuza magodoro, sijui matambala sijui mipira hell not.... kwa faida ya nani..!!
 

Tulia wewe msukuma, hiyo ‘kukojoa’ sio ya kufika kileleni.... endelea kujifunza.
 
Hili zoezi halina interval ya maoteo ya muda? Mfano binti mgeni HUENDA akaweza kutoa maji baada ya dakika kadhaa? Na mwenyeji dk kadhaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wametofautiana

Muda wa kurusha maji hutegemea na maandalizi pia

Wazoefu hata dk 5 haifiki

Learner anaweza kuchujuwa hadi dk 15 au zaidi kidogo

Wengine hubana ili asikie raha hiyo bila kurusha maji maana pia kuna raha fulani hupata kabla ya kurusha

James Jason
 
We jamaa kila kitu unajifanya unajuaa mhhhh!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndoo ukaamua kujiita (Nawatafuna) Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…