Mkuu nipe mwongozo wa hili zoezi nishawah kijifunza kupitia google lakin nahis sijaelewa manake bado nashindwa kuzuia wazee kutoka labda kuna sehem nakosea,unajua lugha mama kuelewa inakuwa rahisKegel
Zoezi la kubana mk*ojo na kiuachia (urine)
Pia hata kama huko*jo*i (urine)
Kisha ukiwa na mkeo jitahidi kuzuia mabeberu wasije (usibane ma*ta*qo)
Jitolee kumpa raha mwenzio.
James Jason
Hakuna alichokosea hapo kwa maana amezungumzia uhusiano halali wa mke na mme ambao hata dini zote unautambuaMkuu ungezingatia siku wengine ndio tumetoka Church tuu alafu unakutana na uzi kama huu!
Najua wamfahamu😂😂mpaka figo za watu??
nani huyo?
Ki*s-imi = Kin*-embe = Clitoris"Ki-s*-imi kilivyo. Ki*n*embe kina umbile kama omega yenye mstari ulio nyooka kwa juu na incha kwenye maungio ya mstari na juu ya omega ambapo ndio kwenye uzi huu tutaita kigoroli.
Kigoroli ndiyo sehemu yenye hisia sana kwa mwanamke, lakini siyo sehemu pekee yenye msisimko kwenye ki*s-imi kwa ujumla maana kuna ile shaft (mistari wa juu) na kulia na kushoto mwa ile omega (mashavuni mwa papuchi) lakini sehemu ya ki.n*-embe."
Nimeshindwa Kupata Picha ya hii OMEGA YENYE MSTARI KWA JUU AMBAPO KUNAKIGOROLI...
Naomba ufafanuzi zaidi Mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa kifupi ukitaka mwanamke a squirt kirahisi unamlaza chali , unanyanyua miguu yake unaiweka mabegani kwako (hii kwa vibonge na vipotabo) au unamkunja miguu yake ikutane na mabega yake (hii ni kwa vipotabo tu)..halafu unaweka mto wa kulalia chini kiunoni kwake ie GSpot inanyanyuka juu halafu pachika mashine taratiiibu huku unaongeza kasi huku unamuangalia usoni ...mimi huwa mara nyingi nakunywaga yale maji maji hasa demu akiwa bomba ...ingawa haunaga ladha yeyote lakini sababu mapenzi ni hekaheka na mademu huwa wanapagawa kweli kweli
Huchukua dakika ngapi kwa kawaida?
Mwwnamke akishafika orgasm kwa kisimi na kulowana anaweza kusquit ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungezingatia siku wengine ndio tumetoka Church tuu alafu unakutana na uzi kama huu!
Kwa hiyo mtoa mada anavyotupa elimu hapa nae anajifanya kujua kila kitu?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji57][emoji57][emoji124][emoji124][emoji124]Sasa wewe umeingia MMU kufanya nini!? Si ungeend majukwaa mengine??
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huyu jamaa kila kitu yumo story zake kwenye uzi wa kimasihara hua sizisomi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama yule dada ambaye ameshawai fanya biashara zote
Mkuu nimeshatoka kazini niko offAcha kupoteza muda mzee baba, kachape kazi huko.