Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Hata kwa mke inawezekana, kama mtakuwa na juhudi za kustawisha penzi lenu na kuwa romantic na si kuzoeana kunakopelekea kufanya kwa mazoea.
 
Baba unafaa turuhusu watu waingie huku kisha maisha yaendelee kama umekubali tuwaruhusu watu tujumuike huko
 
Shukran sana Kiongozi
Hapo kwenye "Clitoris Glan" ndo nime-elewa ulimaanisha kitu gani maana hilo neno Kigolori ndio ulikuwa Msamiati kwangu shukrana sana Chief.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…