Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?


Maji yanayotoka huwa ni mkojo, acha kudanganywa watu, anatomicaly hakuna sehemu yoyote hayo maji yanatoka zaidi ya kwenye kibofu cha mkojo.
 
Kuna Wanawake wanashida za Genital Prolapse kama vile Uterine prolapse , VVP, Cystocele , urethrocele .

Shida ambazo ni matokeo ya
Kubeba mimba , kuzaa, upasuaji wa eneo La nyonga, Ongezeko la nguvu ya presha tumbo , kurith , ukomo wa Hedhi n.k.


Shida hii ya Genital Prolapse HUWA FANYA WANAWAKE WATOKWE NA MKOJO WAKATI WA TENDO LA NDOA, NDIOOOO MKOJOOOO!!.

Dalili nyinginezo ni kaam vile .

Mwanamke kuhisi kitu kinashuka Ndani ya Uke.

Maumivu ya nyonga
Maumivu ya kuvuta yanayoanzia kiuno yanapanda mpaka mgongo shingon
Maumivu pale Mashine inapozama
Mwanamke anakua hapendi uzamishe Mashine yote Ndani

Kutokwa na mkojo Mara Kwa mara, kushindwa kuzuia mkojo wakati mwingine Mwanamke atahisi mkojo ahuishi hata kama kamaliza kukojoa.


NACHOTAKA KUSEMA HAPA NI KWAMBA .. KUWENI MAKINI MBWAA NYIEE, MTAKUTANA NA MIKOJO ,NYIE MHISI NI SQUIRT!!!.


SIFA YA MAJI YA SQUIRT....

Hayana Rangi
Hayana harufu
Yan joto
Lazima yatoke baada ya kumsisimua mwanamke sana, sio yahapohapo, ni unamchezea kisim* na g spot haswaa , with exception kwa wahaya, wahaya wale og, wenyewe hata kwa kumpigia katerero nayo yanatoka !!.

Kapeace
 
Zaman Niliwahi kuwaza pia hivo, ila wakanikanusha
squirt ndio hitimzisho lajuuu la Mwanamke kwenye mapenzi.

Wanaanza kufika kilelen kawaida, ndio wanafatia squirt .

Huyo anayekataa, labda atakua na shida ya Genital prolapse, Sasa inafanya atoe Mkojo, mkojo akiutoa ,Hauna Raha kwake ,ndio maana atadai hajafika kileleni.
 
Nakukubali sana dokta,
Wapo wanaokojoa, ilo sikatai
Ila mikojo na squirt ni Tofauti sana
Mikojo Ina harufu, lazima ugundue tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…