Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Ha ha ha.....wee jamaa kauzu sana
 
Ila watuu !!
Dooh...ndio kwaaanzaaa jumatatu..wtanzania tuna teseka sana. sijui ndio janga la ajira na mitaji linatufanya tuwe hivi au????
Mkuu siujenge Nchi

Kuna watu tunaandika hapa, tuko Ofisini mwetu tunakusanya mia mia mia .

Wengine tunaingiza kazin usiku.

Wengine wako Likizo

Wengine wako offday


Naendelea kuwakumbusha, msifanye mambo kua magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…