Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Asipangie watu maisha,
Kila mtu na kipaumbele chake
Kila mtu aspend Kwa kile kinachompa furaha[emoji4]
Sema member wa Jf inaonekana wanependa sex sio me wala ke.. porn ingekuwa ligal nahisi ingetoka bonge la movie.. maana humu inaonekana watu wapo deep sanaa 🤣🤣🤣
 
Sema member wa Jf inaonekana wanependa sex sio me wala ke.. porn ingekuwa ligal nahisi ingetoka bonge la movie.. maana humu inaonekana watu wapo deep sanaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ha ha ha .....
Haya mambo ndo yanafanya Dunia izunguke[emoji4]
 
Dah! Aise mie hapana hela naipata kwa ajili ya ngono bwana. Chanagamoto gani hizo za kijamii kama sio kujilisa upepo tuu.
Maana kama kula binadamu hali kivile labda ulete mbwembwe za kula sijui pizzahut.

Kuumwa well mara nyingi ni binadamu kujitakia mwenyewe tuu. Hawafanyi zoezi wanakula hovyo.

Nyumba unajenga kwani wee ni wa duniani au mbinguni? Lazima uamjini kuwa wee utaiona mbingu so hamna sababu ya kujenga makazi yako hapa duniani.

Tafuta hela ule mbususu wewe wachana na mambo mengine ya kujilisha upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…