Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?


Nondo
 
Nimejikuta naibana na mkanda
 
Ishu unayoulizia hapa wengi wameielezea sana Pascal Mayalla nilisoma sehemu alielezea kwa undani ama naye alikuwa akiuliza au kujaribu kudadavua. Mm ni miongoni mwa waliokutana na squirt ya mke wa mtu, alidai kwa mumewe ilitoka mara mona moja pekee na ndoa yao ni ya long long time.

Huyu mwanamke alijihisi vby sana wkt ana squirt aliomba radhi sana kwa kutoa na aibu juu, kwa kuwa niliisoma humu na nikatamani nikutane na mwanamke wa aina ile, nilimpa ushirikiano akayamwaga kama bomba la dawasa, kadri nilivyompa saporti ndiyo alivyopata raha.

Mwanamke ukimkuna vizuri ukeni kwa juu pana hali ngozi flan kama inaugumu, kama ganda la filigisi, lazima kama ana squirt atatoa maji na lazima apige ukelele, wala sio kuzamisha sana mjegeje ni kama cm 4 juu yake.

Yule mwanamke alijihisi na kusema tugeuze godoro. Shuka chapachapa. Lile bomba linafanya hadi mkuki unahisi unapigwa shoti ya presha ya maji.


Zaidi soma hapa

 
Kuna niliyenae anatoa vyote kwanza cream then nikipiga terero ndio mafuriko. Mwingine huyu ni wa singida huko mweupe kama mbaramwezi,hana antena(amekeketwa)ila anasquit balaa hapa ndio wataalamu niambien hivi antena(knembe) hakihusikia sana hapa.
 
Sasa hua ni nini hiyo, ni nyege au mkojo!!? Ni kimiminika cha aina gani
 
Kua unampelekea weee hata akisema ana mkojo wewe unamwambia kojoa hapo hapo au!!!?[emoji848][emoji848] Nimeshaona clip ila sikujua kama ndio hii kitu pia nilidhani hua wanaamua kukojoa wakati wanaendelea na mambo!

Inatokea kwenye kikojoleo au inatokea ku[emoji2959]!!!?
 
Kuna niliyenae anatoa vyote kwanza cream then nikipiga terero ndio mafuriko. Mwingine huyu ni wa singida huko mweupe kama mbaramwezi,hana antena(amekeketwa)ila anasquit balaa hapa ndio wataalamu niambien hivi antena(knembe) hakihusikia sana hapa.

Kimsingi huo ni mkojo sema wajinga ndio waliwao,mana hayo maji yanatokea kwenye kitundu cha mkojo hakuna kinachotoka kwenyw kitundu hicho zaidi ya mkojo,pia hiyo katerero lazima uchezee kwenye mlango wa uke ambapo ndio kuna hicho kitundu cha mkojo,acheni kudanganyika na vikojozi wa ukubwani.

Suala lingine from experiece kama unadhani sio mkojo hayo mashuka au kapeti yanapo mwagikia hayo maji jaribu kutoondoa hayo mashuka wala kuyafua yataanza kunuka harufu ya mikojo,kama sio mikojo kwa nini inuke harufu ya mikojo.
 
Squiting ni nini?....ni kitendo kisicho cha hiari cha utoaji/kumwaga mkojo wakati wa kufanya

Kwanini mkojo??
Wanasayansi walifanya utafiti kwa kuchukua wanawake 7 ambao hawana tatizo lolote la uzazi ambao ni wana historia ya squit.....wakafanyiwa vipimo vya ultra sound kabla na baada ya kufanya tendo

Kabla ya kufanya tendo kibofu cha mkojo kilikuwa na mkojo lakini baada ya kufanya tendo kibofu kilikuwa empty kwa wanawake wote

Pia walichukua sampuli na zilivyopimwa urea,creatinine vilionekana(kwa waliosoma medicine wanajua hizi zinaonekana onapopima mkojo) kwa wanawake wote

Hivyo lile linalotoka ni kojo na haiusiani na kufika kileleni....nahisi kinachotofautisha anaye squit na asiye squit ni uwezo tu wakuzuia kojo na sababu itakuwa ya kibaiolojia tu!!!!!
 
Sawa swali linakuja kwann haitoi harufu ya mkojo??

Na pia hauna rangi ya mkojo ni colourless
 
Kuna niliyenae anatoa vyote kwanza cream then nikipiga terero ndio mafuriko. Mwingine huyu ni wa singida huko mweupe kama mbaramwezi,hana antena(amekeketwa)ila anasquit balaa hapa ndio wataalamu niambien hivi antena(knembe) hakihusikia sana hapa.
Haya mambo hayana formula, muumbaji tu ndo anajua
 
Yaani kua mtu amebanwa na mkojo kwa sababu kakolea na mdundo anaona bora ajikojolee hapo hapo kuliko kukatisha utamu! Wajinga ndio waliwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…