Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's obvious hata Yesu kuna Wakati alipatwa na Mambo mazito,akatokwa jasho la damu.Inaonyesha ana utulivu wa nafsi japo inawezekana anapitia mambo mazito tofauti na tunavyomfikiria.
Hongera kwake
Anafaa kwa matumizi yetu yaleee
Anafaa kwa matumizi yetu yaleee
Ni matumizi mabaya ya jinsiaTabia mbaya sana mwanamke mzuri kama huyu anakuwa sister
Kabisa mkuu, sijui waliwaza nini shenzi kabisaNi matumizi mabaya ya jinsia
Hongera sana kwake sister wetu
It's obvious hata Yesu kuna Wakati alipatwa na Mambo mazito,akatokwa jasho la damu.
akikuta kitanda Cha padri alichozoea kujitandikia kimetandikwa na mtawa mwezake sio ugomvi huo au mtawa mwezake kamuhudumia bia padri kelele si za nchi hii ,za URUSiYani sura yake inaonesha nuru ya uungwana na utakatifu kabisa...
Ni mkorofi sana huyo sister msimuone hivyo, na ni mkali hatari. Kuna mwenzake pia mkuu wa shule ya HOLY FAMILY'S GIRLS SEC SCHOOL. Anaitwa sr edwadina...wote kundi mojaakikuta kitanda Cha padri alichozoea kujitandikia kimetandikwa na mtawa mwezake sio ugomvi huo au mtawa mwezake kamuhudumia bia padri kelele si za nchi hii ,za URUSi