SRL football (Simulated Reality League)

SRL football (Simulated Reality League)

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
Habari wadau naomba kufahamu kiundani juu ya huu mchezo nani ambaye anakuwa anachezesha binadamu wa kawaida au ni computer ndio inakuwa inacheza tu yenyewe?
 
Nahisi binadamu anaminya batani ya start kisha mambo yanajipa. Haitofautiani na yale mabonanza betis kumpiga liver 8-0 kawaida tu kwenye michezo hii. Yaani ile ni kubashiri kweli maana hakuna mwenye uhakika na matokeo ya mwisho. Sikushauri ubet michezo hiyo kama huna bahati sana.
 
kwahiyo ni wanaacha zicheze zenyewe hakuna mtu anachezesha?
 
Back
Top Bottom