Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Kiukweli Yanga wapo kwenye peak , sio kwa sababu ameshinda tu bali hata mpira unavyochezwa unaona kabisa kuna flow na chemistry nzuri baina ya wachezaji.
Kuna nafasi kubwa Yanga akatoboa makundi, na Yanga akitoboa makundi basi atacheza nusu fainali.
Mimi naamini nusu fainali ya CAF itaanza kuchezwa na Yanga.
SSC yupo kwenye comfort zone sana na viongozi wake ni hamna kitu vichwani mwao, no science ya football no analysis ….. ni siasa siasa za kulinda vyeo vyao.
SSC inahitaji CEO kijana mwenye UWEZO, sambamba na vijana wengine wenye IQ na mtazamo chanya na kuiangalia SSC nje ya box .
Sio kuwekeza kwenye taarabu za mitandao na vitu vya hovyo vya kucheza na media . Mpira ni kazi na sio mambo ya kujaribu.
SSC pia ameshinda bila ya kuruhusu goli, this is good but bado simba wanahitajika kufanya reform na kuachana na baadhi ya players
Kuna namna timu ime improve lakini umahiri na umakini haupo.
Kama kweli bajeti ya SSC kwa mwaka ni 24B , SSC ifanye usajili wa maana kwa kuangalia mapendekezo ya kocha.
Hapa kuna shida, hawa viongozi wa SSC ambao wengi ni wazee ni vilaza na wanapenda ten percent mno.
Kocha anaweza kuja na plan nzuri wao wakavuruga…… this time mkizingua we will deal with you individually mkakae makwenu mle pension .
It is clear kwamba ni lazima hao kina boko, mzamiru. Mikison, Kennedy , manula, na wengineo waachwe na watafutwe vijana ambao watagrow kwenye timu kimkakati na kiushindani.
Africa wapo wengi sana.
Huyo Charma. Kapombe, Hussein wote watafutiwe mbadala na waanzie nje.
Timu ni lazima ifanye usajili bila ya excuses kama kweli mnataka ushindani wa klabu bingwa na kocha aachwe kufanya kazi yake.
Mpira ni investment kwenye wachezaji na sio social media investment, ishu ya social media iwe ni by product na sio core goal hii kitu iwe clear kwenu. Kwenye pitch SSC haipo sawa bado
Halafu SSC na Yanga ni wakati sasa muwe na Viwanja vyenu. Nyie ni taasisi kubwa na mnatia aibu big time.
Influencer