SSC, sio mbaya kujifunza kwa Injinia namna ya kufanya Sajili za wachezaji

View attachment 2848901
Kiburi na jeuri ndo imefanya mmekufa kibudu
Kama Simba tu meifunga mpk leo hii mnaukumbuka ushindi ili hali mashabiki wa Simba wamesahau.
Kwa mfano mngeifunga Al Ahly, Wydad, Mamelod au Al Hilal hizo bao 5? Mngefanya bonge la sherehe na ingekuwa mapumziko ya wiki nzima kukumbuka ushindi
Mngekuwa bora sana kuliko Simba msingefungwa 3-0 na Bulzadad Algeria 😁😁😁😁😁
 
Hauna akili unajieleza sana lakini roho imekuuma sana na wewe ingekuwa Bora ungemfunga waydad kule Morocco
 
Hauna akili unajieleza sana lakini roho imekuuma sana na wewe ingekuwa Bora ungemfunga waydad kule Morocco
Kwa mfano Utopolo angeifunga Al Ahly goli 5, unafikiri nini kingetokea?
Waliokuleta duniani wangekuwa na akili ungeshuhudia utopolo anaifunga Al Ahly kwa mkapa
 
Ninacho fahamu hakuna mchezaji mbaya duniani ila vitu vitatu vikiungana unaweza kupata mchezaji bora 1, uwezo wa mchezaji binafsi, 2 mbinu za mwalimu kisha 3 falsafa ya mwalimu na benchi la ufundi ndio maana mchezaji anafeli sehemu na kufanikiwa sehem mfano nafikiri benchika anapenda timu itokea kwa haraka na irudi baada ya kupoteza mpira 2 na kwa falsafa hio hutomuona chama akiwaka na fikir juu ya utumiaji wa onana hanaonekana kwenda mbele marachache kuliko pasi za kushambulia ILA UKWELI CHAMA NI BORA KULIKO ONANA ILA NI MBINU ZA MWALIMU
 
Kwa mfano Utopolo angeifunga Al Ahly goli 5, unafikiri nini kingetokea?
Waliokuleta duniani wangekuwa na akili ungeshuhudia utopolo anaifunga Al Ahly kwa mkapa
Mama yakoo mwenyewe iloooo kolooooo roho imekuumaaa wenzioo kushinda janaaaa ilooooo unajieleza kama mjane msimbe wewe
 

Yanga anatoboa nyie mtabaki hapo hapo. Kama yanga ni mbovu goli 5 zilipita wapi

Ni aibu kufungwa goli 5
 

Sana
Simba habari yake ni kuishia makundi na kuwasha moto
 

Mualgeria akija tz anakufa 5
 
Sana
Simba habari yake ni kuishia makundi na kuwasha moto
Sawa.
Ndoto ya Yanga ni kucheza makundi champion kwahiyo akivuka hapo ni bonusπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kwahiyo ushindi wa jana unamtambia Simba, Al Ahly, Mamelod au Wydad?
 
Na kweli yanga akichomoka hapa mnaweza shituka yupo nusu fainali,

Wewe subiri
Unajua wengi wanaamini ni maneno ya ushabiki

SSC hata akichomoka, hana faida
Alishachomoka sana makundi na hajawai kuwa na impact Zaid ya kufa kiume
 
Sawa.
Ndoto ya Yanga ni kucheza makundi champion kwahiyo akivuka hapo ni bonus[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwahiyo ushindi wa jana unamtambia Simba, Al Ahly, Mamelod au Wydad?

Ahly alikaziwa taifa

Hakuwa na jipya
 
Yataje hayo mafanikio ya Yanga ambayo Simba hawajawahi kuyafikia.
Umechambua upande wa kufanikiwa tu unataka kuniambia usajili wa Konkoni,Bigirimana na Metacha ulifanywa na nani ?
Vukeni kwanza makundi ndipo muongee nje ya hapo tulieni.
NB: Simbs SSC ni wa pili kwenye kundi lake na wote wanamichezo sawa minne
Yanga ni wa pili kwenye kundi lake akiwa mbele kwa mchezo mmoja.
 
Hauna hoja wewe ndo maana umepigwa Tano yanga na waydad kakupiga kimoja View attachment 2848931
Sawa
  • Kama Simba alitoka draw na Al Ahly na wewe uliifunga Simba goli 5. Ulishindwa vipi kuifunga Al Ahly?
  • Kama mlifunga Simba goli 5, ilikuwaje mkafungwa 3-0 Algeria?
Bora Simba iliyofungwa 1-0 kuliko Yanga iliyofungwa 3-0 halafu ball possession ilikuwa mnaongoza πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Goli goli tu wewe hauna hoja ndo maana viburi vyenu mkala chuma 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…