Mimi pia ningependa kujua kama walishaita...kujua wanaita lini sio rahisi labda uwe na muhabarishaji kutoka ndani kwenyewe...tuhabarishane wadau..binafsi niliitwa kwenye written interview nafasi ya admn & hr pale luther house mpaka leo sijasikia hili wala lile kuhusu oral interview.