SSRA - YAJIBU maswali kwa barua pepe kuhusiana na fao la kujitoa(Withdraw benefit) - Resolute Mining

SSRA - YAJIBU maswali kwa barua pepe kuhusiana na fao la kujitoa(Withdraw benefit) - Resolute Mining

kisute

Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
54
Reaction score
3
Tarehe 30 July 2012 SSRA wametuma barua Resolute Mining kuhusiana na sakata la fao la kujitoa
Kumb. Na.CB75/396/VOL.II/13 withdraw benefit soma hiyo clip.

Je hili si changa la macho? Mbona hakuna nakala kwa NSSF makao makuu, mkoa hata wilaya?
Naomba MCHANGO WENU

Nawakilisha
 

Attachments

Na ya geita gold mine ipo haina tofauti na hy ya resolute tofauti yake ni hapo kufunga mradi tuu kwani resolute wao wanafunga mradi kila kitu ni same.
 
Back
Top Bottom