St.augustine university hii ni halali ?

dume kubwaaaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
255
Reaction score
28
Utaratibu wa kuwalazimisha wanachuo kutoka katika chuo hiki na matawi yake kulipa fedha za graduation hata kama mtu hataki kushiriki limetia doa chuo hiki na kuonekana kuwa ni biashara ya kulazimishana.Baada ya kuona kuwa watu wengi wanashindwa kuthibitisha kushiriki mahafari chuo hiki kilibadili mada na kudai ili upate transcript yako lazima ulipe shs 70,000/= hata kama hutashiriki graduation.Mimi nauliza mkataba wa chuo na mwanachuo ni mwanachuo kupata elimu na mwisho wa siku atunukiwe cheti chake baada ya kuhitimu na kufaulu,sasa suala la kuongeza gharama za transcript kutoka shs 10,000/= za awali hadi shs 70,000/= linakujaje?
Jamani wenye mamlaka na masuala haya mtusaidie ili sisi watanzania maskini tusiendelee kunyanyaswa
 
acha tu yani mi mwenyewe nililipa hizo gharama kwakuwa nilikuwa na shida sana ya vyeti vyangu wakati huo but sio fair wanachokifanya.....
 

Jenga hoja uwapeleke mahakamani, wapuuzi, wezi, shetani wakubwa
 

TCU can comment on that
 
Mashetani tu,haiingi akilini mtu hashiriki mahafali anataka gamba lake tu et analazimishwa kulipa 70000 za nn? wakati transcript inalipiwa 10000!
Serikali na wizara ni dhaifu,et tuna serikali na sisi!!!!!!
 
Nipm tawi lilikufanyia hayo, me npo tawi mojawapo na tunatoa transcripts kwa elf10 tu! Pia matusi hayajengi ndugu zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…