St Augustine university launches business incubation centre.

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
1,029
Reaction score
459
Taarifa rasmi nlizozipata ni kwamba chuo cha mtakatifu Agustine kimezindua rasmi business incubation centre kwa graduates wa chuo hicho.

Centre hiyo itakuwa inarecruit graduates wenye business idea,inapitia na kuwafunda na hatimaye graduates ambao idea zao zitapita watasaidiwa kuanzisha biashara hizo na kupatiwa mtaji kuanzia dola za kimarekani elfu kumi (USD 10,000) hadi elfu ishiri (USD 20,000)..
Ikumbukwe kuwa mtaji huo ni “interest free seed capital“..
Mchakato ni mrefu lakini unaonekana una tija kwa sababu tofauti na miradi mingine,hawa watu watakuwa na wahitimu wenye business idea mwanzo mpaka wanafanikiwa..na watawatengenezea network..

Kiukweli nadhani ni precedent ambayo vyuo vingine vinapaswa kufuata.
 
Kama ni ya kweli hayo,basi ni jambo jema kwa wana saut!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…