St Augustine University of Tanzania is the best private university!?

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414
Fuata hii link
www.viewtz.com/vtz_forums/topic/is-st-augustine-university-of-tzsaut-the-best-private-university-in-tanzania/

Hongera zaidi naomba ziliendee baraza la maaskofu katoliki Tanzania, pia kwa vice chancelor Rev Dr Charles Kitima.
 
Ujinga tu.asa best kwa kipi?
 
Ujinga tu.asa best kwa kipi?

Umefuata hiyo link uliyoelekezwa? Manaake huko ndio kuna hicho achievement iliyowaweka kuwa juu. Halafu inaonekana wewe kama umemaliza Tumaini vile au Muslim university!!!!!
 
Umefuata hiyo link uliyoelekezwa? Manaake huko ndio kuna hicho achievement iliyowaweka kuwa juu. Halafu inaonekana wewe kama umemaliza Tumaini vile au Muslim university!!!!!

cjawah kuwa huko na haitakaa itokee nikawa huko
 
ujinga tu.asa best kwa kipi?

sababu walizotoa ni hizi -


 
mmmmmhhhh! wasomi vyuoni mnanishangaza sana, kazini/ maofisin hatuangalii ni chuo kip,kina muda gan,kinatoa elimu gan ila WEWE BINAFSI UNAJUA NN NA ULICHOKISOMEA UNAKIWEZA...... kwa staili hii cjui kama 2tafika!
 
Ni ujinga,ulimbukeni na ushamba ndio unatawala mijadala ya vyuo!
 
usiidharau tumaini dogo,hujui kuwa ndo iliyopigana kiume kuitaka serikali iwapatie wanafunzi wa private universities kupata mikopo,usikurupuke dogo kama una uwezo unao tu haijalishi upo chuo kipi,watu wamesoma shule za kshenzi na wamewapiga bao hata wa special kwa performance nzuri
 

you have a point,so bright.
 
Ipo kama ni maoni ya mtu hivi.... Hakuna utafiti uliofanyika. Ok! Japo ikilinganishwa na vyuo vingine, SAUT wanajitahidi, japo suala la ubora siwezi kuthibitisha, ila nasikia wanafanya vizuri.
 
Ipo kama ni maoni ya mtu hivi.... Hakuna utafiti uliofanyika. Ok! Japo ikilinganishwa na vyuo vingine, SAUT wanajitahidi, japo suala la ubora kazini siwezi kuthibitisha, ila nasikia wahitimu wake wanafanya vizuri.
 
watu tuliotroka family ambazo elimu zipo chini tuna shida sana dunia ya ya leo mambo ya digital mnajadili wapi bora baada ya yupi bora vijana wenzangu tuache ujinga wa mawazo dunia ya leo jua tunaangalia mtu unanini siyo umesoma wapi GOOOOGLE OYEEEE watu wanasoma medicine on line bila lecture mjajua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…