St. Augustine University of Tanzania

Status
Not open for further replies.
Hiki ndicho wasomi wengi wabongo wanakosa!!! MTU msomi tena anajisifu kupasua darasani lkn ukimleta ktk ulimwengu Wa critical thinking an logic anachemsha vibaya Sana. Ndio maana wasomi wetu na viongozi wanaongea utumbo mpaka watoto wanashangaa usomi wao.... MTU Kama mleta mada angesoma philosophy na matawi yake angekuwa na corrective way of thinking but Bahati mbaya kwake amekosa hayo.!!!


Congrats!!!!!
 
Tatizo liko hapa,mt unamfaham toka nyuma uwezo wak,anasoma koz 14 per smt bado matokeo yake niA &B+!Hapa ndo miujiza ipo
 
Mleta Uzi hajitambuii HV kweli umemaliza chuo au unaleta porojo Japa jf HV unajua ugumu Wa iko chuo unachikisea kifarafara unajua A 80 B+ 75 ambayyo chuoni ulikosoma ndo A pumbavu sana kajipange uje upiya alafu WAP adm toa hii katuni kwenye jukwaaa
 
mtoa mada wew ndio kilaza kuliko hao uliosema vilaza. intellectual awezi toa status za kipuuzi kama hii. na hata ww iyo CPA sidhani kama utaitoa kwa single sitting. na utashangaa kuona unaowaponda wanazichukua kiulaini hahahahhh!!! acha sifa za kijinga mkuu. leta mada za maana. mada yako haina mashiko miongoni mwa mtu yoyte.
kindly regards
fundi el makro, BA-AF(MUCO), CPA (T)
 
Teh teh teh msomi huyo kesho anatarajiwa kuajiriwa kwenye high reputable institution with that poor English proficiency....

hahahahhhh very poor. dat iz grammatical errors. afu anataka CPA (KATIKA LIST YA MEMBER 6002) hamna nafasi yake.
 

Na Ktk Hiyo Perfomance SAUT Ndiyo Kinara Kwani Ushahidi Upo Tena Very Vividly Kwa Watendaji Wengi Ktk Taasisi Mbalimbali Nchini.
 
Fallacies of generalization

Argumentum de popularity

Asante critical thinker. Argument de populum. Umenikumbusha mbal sana. Mleta mada sio kosa lake, ni mwalimu wake wa primary ndo kamzoesha kukariri.
 
Wewe Umesoma Chuo Kikuu Gani? Kiweke Hapa Nikupe Makavu Yake Laivu.........Ninakuheshimu Sana Mkuu ILA Uvumilivu Utanishinda Kwako!

Dharau sio nzuri ukianza kukosoa chuo unakosea anza na waliokipa ridhaa ya kuwa chuo kikuu(tcu). elimu zinazotelewa vyuoni ni kuunga unga tu. kama ww ni braight kwann uende udsm wakati havard ipo. cambridge ipo. south africa vyuo kibao. acheni upuuzi. sifa za kipuuzi.
 
Mtu mmesoma nae unamjua fika ukilaza wake,ameomba vyuo vya serikar amekosa,anakwambia nipo SAUT,Nasoma koz 14 nina A 7!!

Kwa hyo tukusaidiaje maana hatukuelewi baada ya kuandika hvyo what next
 
Hawa jamaa wanasoma koz mpaka 14 kwa sem.A yao ni 80,C yao ni 50,Cha ajab wat tunaowajua ukilaza wao wanawezaj kupata As
 
Nataman nione validity ya mitihan yao!matokeo yao mazur wanayapataje kwa idad hiy ya koz?walioko chuo wanajua uzt koz 14
 
Shame on you Ndugu, nimeamini kweli SAUT ni vilaza. A masters' degree holder unaandika English ambayo Mtoto wa darasa la 7 hawezi andika. Njoo tusome wote Certificate hapa CBE coz bado uko empty headed kabisa

So Chines who learn in Chines r knowledge less!
Wale wale wanaoamini elimu darasa la nne wamesoma kuliko form four kwa kuwa walijua kimobo! Actual ur not the right person to argue wit me!
 
Asante critical thinker. Argument de populum. Umenikumbusha mbal sana. Mleta mada sio kosa lake, ni mwalimu wake wa primary ndo kamzoesha kukariri.

The SAUT prepare graduates to be entrepreneurs,to employ them self not to be servants(,employed)
 
The SAUT prepare graduates to be entrepreneurs,to employ them self not to be servants(,employed)

I get u brother. Kile chuo kuna ka msemo kuwa kuingia ni rahis kutoka mbinde saaanaaa.
 
Ubora wa chuo sijui watu wanapima na nini so long as walimu haohao wapishana vikumbo tu ktk fastjet,asbh dar jioni mwanza....wengi wanaosifia vyuo vyao ndo watupu kwa hiyo jina la chuo eneo la kujiosha.
 
We mtoa mada, hebu kafanye kwanza mtihani wa CPA, ukifaulu ndio uje utuambie hiyo analysis yako ya kitoto.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…