Did I mentioned???? wewe msomi wa chuo wanachofundisha vizur mimi wa SAUT sijakuelewa?
Hakuna logic kwenye reasoning. Umeshamaliza chuo au bado?
Tuwe wa kweli..... Kuna mtu anakwambia nina degree ila mkiwa kazini unajiuliza huyu ni certificateee au degree? Viwango vya elimu mpaka vyuo kiboreshwe sanaaa especially vyuo fulani fulani
c uvitaje?
saut,st john,tumaini,st joseph.
St johns???? Maelezo kidogo hapo kuna mdogo wangu anapiga pale..wanakoz 10... anasemaga pale ni zaid ya sokoine..ila bado kuna shida ya wahadhili..ni kwel sijui?
St johns???? Maelezo kidogo hapo kuna mdogo wangu anapiga pale..wanakoz 10... anasemaga pale ni zaid ya sokoine..ila bado kuna shida ya wahadhili..ni kwel sijui?
St. John, wahadhiri ni tatizo kubwa kwa chuo hiko
Na si ndio mfumo wa Tanzania hata hivyo?Hao hao unaowaita vilaza watakuja kuwa mabosi wako