St. Augustine University of Tanzania

Status
Not open for further replies.
Nikienda kufanya interview wanafunzi wanaotoka vyuo kama SAUT huwa siwahesabu na Mara zote nawapigaga chini
 
Mtoa mada na GPA yako yote umeamua kuja na pumba hii.

Kwa jinsi ulivoandika nadiriki kusema huna unachojua na GPA yako ni ya bure kabisa. Msomi mzima unashindwa kufanya CRITICAL INVESTIGATION na GOOD REASONING unaishia kwenye GENERALIZATION ya watu hao wachache wanaokuzunguka. Wewe umesoma lakini bado hujaelimika, siku utakayo elimika utaacha kuandika pumba kama hizi.

Hii post yako haina tofauti na posts ambazo nazionaga humu nikizisoma tu comments zao huwaga naishia kucheka na kuona jinsi gani ambavyo binadamu bado hajaelimika.

USHAURI KWAKO MTOA MADA, MTU AU SEHEMU YA KUDHARAU TOA MACHO MAWILI MAKALI YENYE HESHIMA ZAIDI.FOR MORE INFORMATION REFER TO VARIOUS WORLD CASES NA UTAJUA NINI NAMAANISHA HAPA.

CPA NJEMA MTOA MADA
 

mbona naona umeandika ushuzi aisee inamaana hata hapo form four ulipoishiaga hujawahi kusoma sampling? hiyo ndo huitwaga sampling mimi sijawachagua wametokea tu watu watano kama ningewachagua naona ningepata vilaza wengi mno
 

Acha wehu ww mimi dogo yupo mwKa wa kwanza law pale na an division two ya point 17 kitato cha nne na ana division one ya point 9 kidato cha sita. Kwaiyo mtu kushindwa kwenye discution co kua hajui wengine wanafanyaivyo ili kujua zaid mwishowacku mtihani wa mwisho wanakuburuza unabakikusrma nilikua nawafundisha wale kumbe walikua wanakuchota akili ww mjinga unaejicfu kusoma mlimani
 

Kwaiyo unataka kuniambia udsm na matawi yake mkwawa na duce pamoja na icho chuo ulicho kitaja hakuna division three wanaosoma apo... achaga sifa za kijinga tuna rafiki wamesoma ivyo vyuo tena na three ya14 uliza walioingia chuo 2009 watakwambia
 
Hivi mbona mnakidharau sana hiki chuo cha SAUT.
Naomba kuuliza grdt wa UDSM kozi ya Sociology na wa SAUT kozi ya Law , yupi ni bora kuliko mwenzake.
 
Hivi mbona mnakidharau sana hiki chuo cha SAUT.
Naomba kuuliza grdt wa UDSM kozi ya Sociology na wa SAUT kozi ya Law , yupi ni bora kuliko mwenzake.


Mbona analysis yako ipo kisiasa zaidi?
Ni Sawa na kulinganisha kifo na usingizi
 
Hivi mbona mnakidharau sana hiki chuo cha SAUT.
Naomba kuuliza grdt wa UDSM kozi ya Sociology na wa SAUT kozi ya Law , yupi ni bora kuliko mwenzake.

hoja za wachangiaji wanao support SAUT ni dhaifu sana. Mfano halisi ni pamoja na hii hoja yako. Iweje Unauliza yupi bora wakati hujaweka vigezo vyovyote vya kuwapima? Yaani nyie watu wa SAUT ni shida
 
Nyie mshambulieni mleta mada ila kuna ukweli katika hoja zake..binafsi nilisoma hapo miaka ya nyuma na walikuwa walimu wengi kutoka nje ya nchi na wakifundisha vizuri sana. Ila miaka ya kuanzia 2005 hali ilibadilika wakaanza biashara badala ya kukazania ufundishaji bora.
Kila mkoa wana tawi lao lakini ukiangalia hakuna mwalimu mwenye sifa wanaangalia zaidi quantity badala ya quality.Kuna watu nilisoma nao hapo SAUT walikuwa vilaza darasani lakini sasa hivi naambiwa ndio walimu hapo kisa wapwa wa maaskofu.
Hicho cha kukosa hata top 10 katika CPA ni hoja ya msingi ya kupima weledi wa wahitimu wa SAUT ukilinganisha na wahitimu wa vyuo vyengine.
 

Acha umbea, (make umeongea bila statistics)sema mwl wa nje aliekuwepo mwenye sifa Department ya Accontancy& Finance na sasa hayupo.. na alikuwa na sifa zipi tofauti na wengine?

Pia taja mwl wa Department ya Accountancy & Finance aliepo pale asiye na sifa.

Usome BAMC au Eduche au Baso ujidai unakifamu chuo!!!
 
Teeehh teeehh teeeh game tuu wapo "Competent but aint Compelable" thats a mess in market hao ndo wale wanaotumia Nepotism in jobs
 
Siwezi kulumbana na wewe unaonekana ni mmoja wa hao wasio na sifa ila sisi tuliondoka wakati Fr. Rwenyengeza akiwa mkuu wa Chuo..tena unaonekana umetoka usingizini..
 
Mimi Sijawahi kusoma mchepuo wowote unohusisha Viingereza mpaka nikijue! huwa naelekeza kwa kiswahili na Intermediate yangu hii nifeshafanya consultations kibao ndugu!

Hizo topic Za accounting unasoma Kwa lugha gani, Sema tu kangereza kanasumbua kwako kuliko Hata Nuhu Mziwanda, Ndo wewe unajiandaa kushindana kwenye soko la ajira la Africa Mashariki Kwa hoja dhaifu na kiingereza kibovu hivi, yaani topic mbili tu ndo unatoa povu ka nini
 
mi nafikiri mleta mada ana hoja inakuaje mtu ana A kwenye matokeo ya chuo alafu hilo soma alijui kabisa na mtu huyu sio mmoja ni wengi tu kutoka chuo husika
 
Siwezi kulumbana na wewe unaonekana ni mmoja wa hao wasio na sifa ila sisi tuliondoka wakati Fr. Rwenyengeza akiwa mkuu wa Chuo..tena unaonekana umetoka usingizini..

Huelewa wa mambo ni sifuri!! Weka hapa data. mtu mzima umbea bila details. Huyo Fr. ndie alikuwa nauwa chuo. Hakupenda walimu wajiendeleze PhD wala CPA.

Na alikuwa na mambo ya ukabila sn (nadhani atakuwa kabila lako /ndg yako) akatolewa. Kwa sasa yuko SAUT bukoba nadhani ni mlezi tu Academic hawezi!! Huenda ulikuwa unazunguka majengo ww, ulikuwa hukuja kusoma!!
 
Hili nimeliona mwanafunzi wa saut anakesha bar 24 hours ila siku ya paper ana misonge yake nane, nakahisi tuu jamaa ni genius ila sitaka kuhitimisha kwamba eti chuo kizima ni fyongo sababu sample yangu ingekuwa na bias tayari,, hivyo ndugu uliyepost hii nenda kafanye research uje na data hapa la sivyo uache pumba!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…