St. John interview short list iliyosemekana imetolewa ipo wapi?

St. John interview short list iliyosemekana imetolewa ipo wapi?

PAFKI

Senior Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
116
Reaction score
38
Jana kuna mtu kanipigia cm akasema st john wametoa short list yao,hebu nisaidieni ipo gazeti gani wana JF.
 
Sasa oya! muulize aliyekupigia cmu yeye kapata wapi hiyo habari.
 
[Jana kuna mtu kanipigia cm akasema st john wametoa short list yao,hebu nisaidieni ipo gazeti gani wana JF]

vipi ndugu yangu, umelipa hilo gazebo?, kama unmelipata hebu tujuze ili tulitafute, ni gazeti gani?
 
Mkuu nikweli wameita watu lakini IMEAHIRISHWA na aijulikani itakuwa lini..........mjini shule.
 
mkuu wameita wiki hii na kusema interview leo cha ajabu wamesitisha mpaka watakapotangaza tena.
nadhani kuna wakubwa wamehelewa kupeleka vimemo vyao hivo wanavisubiria wakivipata tu mtaitwa kwenye interview
 
what I know is interview itakuwa jtatu 24/10/2011 kw baadhi ya post na itafanyika dar. candidates were called and informed
 
kaka jamaa angu kaitwa km bursar st.john ya Dar lkn alpigiwa cm tena kuwa imehairishwa until further notice... haijatolewa kwenye magazeti ila wamepigiwa cm...
 
Naomba kujua kama kuna watu wameitwa tayari kweny interv st.john's and bagamoyo university!
 
Wakuu hivyo ndivyo ilivyo hapa kwetu,msijali ambao hatujaitwa posible Mungu katupangia sehemu zingine but let us weight labda wanaita kwa awamu kwa kuwapigia cm,zamu yetu ikifika tutaitwa
 
Back
Top Bottom