Medical Dictionary JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 1,060 Reaction score 309 Jun 23, 2012 #1 Wadau naombeni msaada kuhusu bachelor of pharmacy ya st john,je ipo compitent,na je chuo kipo katika standard nzuri(enough lecturers,enough practicals)? nisaidien wadau nipo njia panda
Wadau naombeni msaada kuhusu bachelor of pharmacy ya st john,je ipo compitent,na je chuo kipo katika standard nzuri(enough lecturers,enough practicals)? nisaidien wadau nipo njia panda
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jun 23, 2012 #2 We kasome,bongo vyuo vyote level moja tu.
K Kipimbwe JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 370 Reaction score 71 Jun 23, 2012 #3 Bachelor inakuwaje competent?
Medical Dictionary JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 1,060 Reaction score 309 Jun 23, 2012 Thread starter #4 Kipimbwe said: Bachelor inakuwaje competent? Click to expand... mkuu namaanisha ushawishi wa bachelor ya hapo st john kwenye soko la ajira
Kipimbwe said: Bachelor inakuwaje competent? Click to expand... mkuu namaanisha ushawishi wa bachelor ya hapo st john kwenye soko la ajira
Medical Dictionary JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 1,060 Reaction score 309 Jun 23, 2012 Thread starter #5 Senetor said: We kasome,bongo vyuo vyote level moja tu. Click to expand... asante kwa ushauri senetor
Senetor said: We kasome,bongo vyuo vyote level moja tu. Click to expand... asante kwa ushauri senetor
The_Emperor JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 871 Reaction score 125 Jun 23, 2012 #6 Senetor said: We kasome,bongo vyuo vyote level moja tu. Click to expand... hahaha,baada ya kumaliza chuo ndio unakubali vyuo vyote ni sawa!Hongera kwa kuelimika!
Senetor said: We kasome,bongo vyuo vyote level moja tu. Click to expand... hahaha,baada ya kumaliza chuo ndio unakubali vyuo vyote ni sawa!Hongera kwa kuelimika!
Vodka JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 906 Reaction score 96 Jun 24, 2012 #7 Kokote nenda tu,piga zako msuli njoo upambanie ajira kwisha kazi.
Medical Dictionary JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 1,060 Reaction score 309 Jun 24, 2012 Thread starter #8 Vodka said: Kokote nenda tu,piga zako msuli njoo upambanie ajira kwisha kazi. Click to expand... asante mkuu kuhusu msuli usiwe na wasi..
Vodka said: Kokote nenda tu,piga zako msuli njoo upambanie ajira kwisha kazi. Click to expand... asante mkuu kuhusu msuli usiwe na wasi..
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jun 24, 2012 #9 Wewe kasome bana.