St.John university (dar es salaam C )

chek kwenye website kwa maelezo zaidi.ila kwa kukusaidia tu, kipo buguruni malapa, kanisa la ANGLIKANA.pale pale stendi ya malapa.
 
Ukiingia muonekano na mandhari hakina tofauti na shule za msingi za serikali waliofika watakua mashahidi ila katika rank ya vyuo bora tanzania watakujibu wadau wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…