B BACHELA Member Joined Mar 11, 2013 Posts 26 Reaction score 1 May 25, 2013 #1 Wana jf naomba kuuliza hv kwa kule st.john dodoma kukaa hostel na kupanga ipi inakuwa nafuu. Ninampango wa kwenda kule na je hostel haziwah kujaa kwakuwa naenda diploma na wengine wameripot tayar. Naomba msaada wenu
Wana jf naomba kuuliza hv kwa kule st.john dodoma kukaa hostel na kupanga ipi inakuwa nafuu. Ninampango wa kwenda kule na je hostel haziwah kujaa kwakuwa naenda diploma na wengine wameripot tayar. Naomba msaada wenu
I isotope JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 2,392 Reaction score 817 May 25, 2013 #2 Ukiikaa mtaani jiandae yakukute kama yaliyomkuta dada yetu (R.I.P), ukikosa hostel bora utafute chuo kingine kitakacho kukuhakishia accommodation.
Ukiikaa mtaani jiandae yakukute kama yaliyomkuta dada yetu (R.I.P), ukikosa hostel bora utafute chuo kingine kitakacho kukuhakishia accommodation.
Kazitunayo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 3,782 Reaction score 3,199 May 26, 2013 #3 Ukikaa hostel za Area E kma unaenda aiport uta enjoy sema geto ni vzr zaid ukiwa na mwenzako