BURTON JNR
Member
- Jul 16, 2014
- 60
- 15
Uliza swali Lolote kuhusu hiki chuo npo online...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeaply hapo b.comed vp nasikia watu wanakamatwa sana kama ukizembea nipe ukwel
Ndio kozi gani hiyo mkuu?
Tembelea www.sjut.ac.tz utapata kila kitu
acha uongo wewe kijana ....lini st john wameanza kutoa MD???hiki chuo kwel Majanga kuna Mdada anasoma MD hapo ana GPA ya 5,mwaka wa 4,ilikuwa kwenye tamasha la Wasabato la Kitaifa pale UDOM watu walishangaa sana coz ilikuwa kila mtu anasimama na kutaja GPA yake ilikuwa ni nomaa sana
mkuu umeona enhee afuacha uongo wewe kijana ....lini st john wameanza kutoa MD???