St. John university

Nimeaply hapo b.comed vp nasikia watu wanakamatwa sana kama ukizembea nipe ukwel
 
hiki chuo kwel Majanga kuna Mdada anasoma MD hapo ana GPA ya 5,mwaka wa 4,ilikuwa kwenye tamasha la Wasabato la Kitaifa pale UDOM watu walishangaa sana coz ilikuwa kila mtu anasimama na kutaja GPA yake ilikuwa ni nomaa sana
 
nitajie course mnazotoa branch yenu ya DAr na gharama zake
 
B com ed..
Inabd unapokuja hapa make sure usiondoke kwenu kwa mbwembwe muda wwt unaeza kuwa nao pamj xo uje kusoma sura ukishapata results za UE
 
Tembelea www.sjut.ac.tz utapata kila kitu

Sasa umeanzisha post ili iweje? Kwani unadhani akina BAKI hawajui hiyo website?

Kuna kijiji kimoja pale juu kinaitwa Kikuyu saivi pamekuwa ni town? Mitaa yetu hiyo nikiwa Mazengo sec bweni la cosovo!

Ila jina la chuo bayaaa..St John ili iweje, kwani hapo mnafunzwa kusalisha? Heri hata lile jina la TEKU ingawa nalo la kisafwa safwa
 
Last edited by a moderator:
Kikuyu hivi sasa ni kama city ndogo ndan ya manispaa ondoa shaka imezungukwa na gest na migahawa.
 
hiki chuo kwel Majanga kuna Mdada anasoma MD hapo ana GPA ya 5,mwaka wa 4,ilikuwa kwenye tamasha la Wasabato la Kitaifa pale UDOM watu walishangaa sana coz ilikuwa kila mtu anasimama na kutaja GPA yake ilikuwa ni nomaa sana
acha uongo wewe kijana ....lini st john wameanza kutoa MD???
 
acha kudanganya wewe, St.John hakuna MD pale, labda Nursing na Pharmacy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…