Vyuo vya kata bana, kumbe navyo vina wateja wengi tu..!
Hata vyama vya upinzani wakati vinaanza wabongo wengi mlividharau kwasababu mlikariri ccm kama wewe ulivyokariri vyuo kama ud. Lakini niambie leo kati ya chadema na ccm hali ikoje.Wengi mliona chama bora ni ccm tu,kama wewe unavyoona chuo bora ni ud pekee yake na vingine vichache.
Hata hiyo ud wakati inaanza ilidharaulika ukilinganisha na vyuo vya nje ya nchi.
Miaka 50 ya uhuru wewe una fikira za mwaka 47 kutaka nchi nzima iwe na chuo kikuu kimoja tu au viwili.
Hata kama umesoma, ni wazi shule yako ni ya kukariri au hujaelimika na kama ndo umesoma ud sijui sasa hapo huo ubora wa chuo hiko uko wapi kama unakuwa na mawazo mgando kama haya ya kutaka tubaki na vyuo vichache vinavyohesabika.
Hivi kama sekondari zinaongezeka na population inaongezeka wewe ulitarajia nini?
Tatizo lingine ni mtu kuzaliwa bongo,kusomea bongo na si ajabu unaishi bush na huna exposure ya kutosha.
Hivi wewe unafikiri nchi zilizopiga hatua katika elimu ya juu walikuwa na vyuo vya kuhesabu tangu nchi hizo zipate uhuru?
Wabongo wengi mnadhani vyuo vikuu bora ni vile vya serikali tu.St Johns university ziko mpaka Marekani na ni vyuo bora duniani?Acha ushamba umekariri mambo ya bongo tu.Tembea duniani ujionee watu walivyowekeza katika elimu ya juu.
Yaani wewe kama umesoma hapo ud huna tofauti na wale wanasheria wa hapo ud wanaosaini mikataba mibovu, kama hawakwenda shule, inayoligharimu taifa.
Wewe kama umesoma hujaelimika na kama ni mwanamke inawezekana ndio wale wenye degree za nguo ya ndani kama alivyosema yule mkuu wa wilaya.