kama hapo juu inavyojieleza jaman majina ya waliopata room main campas dodoma yapo kwenye web yao sema nimeshindwa kuyatupia humu kwa sababu net inazingua kuyadownload!!!!!!
hawajasema kitu ila walitutumia text kwa simu kutueleza hivyo kuwa tumepata room xo n kulipia na mwisho n kesho trh 30 saa 10 jioni!!! +255768250771 namba hiyo ndio waliyonitumia text xo jaribu kuwauliza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.