Hivi Jf hakuna jins ya kupata details za member, au hata kuwapata physicaly? Isee kiukwel jamaa umetoa kashfa na kubeza kupta kias! Yan ww unakiona chuo hk kua hakiwez chochte? Do u mean TCU doeznt recognze it as a UNIVERSITY among the other universties found in Tz? Omba radhi ndg yangu, umefanya sivyo yani.