Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimaye wanafunzi wa st.joseph university in tanzania dsm mwaka wa kwanza education wamegoma kuingia darasani kisa mpaka sasa hawajapewa boom la kwanza principal aweweseka na kuwaomba samahani watawaingzia mwez ujao
St.Joseph kuna education?
Mbinu mbadala kama ipi wasaidie
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
Hatimaye wanafunzi wa st.joseph university in tanzania dsm mwaka wa kwanza education wamegoma kuingia darasani kisa mpaka sasa hawajapewa boom la kwanza principal aweweseka na kuwaomba samahani watawaingzia mwez ujao
mmmmmmh wewe upo tanzania au
mmmmmmh wewe upo tanzania au