St.Joseph na utata wa bum

RANYE WEST

Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Wanafunz wa chuo cha St.Joseph~ Songea,waendelea kuwa ktk hali mbaya kiuchumi.Hii ni mara baada ya kuambiwa kuwa chuo hicho bado hakija pokea fedha za kujikim wanafunzi kwa awamu ya pili.lakini cha ajabu zaidi ni kuwa uongozi wa chuo hicho uliwatangazia wanafunzi kuwa chuo hicho kimeshapokea fedha za awamu ya pili kutoka bodi ya mikopo mnamo tarehe 17 ya mwezi wa 12,lakini leo uongozi huo umegeuka na kusema kuwa bado haujapokea fedha hzo.Hvyo wanafunzi hao hawajui ni lini watapata fedha hizo.Hii inapelekea wanafunzi hao kuishi kwa shida kwani wengine hushinda njaa kutokana na ukosefu wa pesa.
 
Mnawachekea hao wahindi thats y wanaendesha hicho chuo kwa maigizo siye wengine tunakaribia kumaliza nyie hata hamjui lin mnapokea boom kweli majanga.
 
mjiogainise then mgome kuingia darasani,,,wanawekaga fixed account hao

Jamani hii kitu imekuwa ikiniumiza akili hivi kuna ukweli wowote kuwa huwa wanaweka kwenye fixed account>Maana fixed account ili upate faida nadhani ni kuanzia kama sio miezi mitatau basi mmoja,je hao wa chuo inamaana wanachelewesha miezi mitatu au kuna fixed account ya week moja au tatu?
 
mdau kuna kiasi fulani ukikiweka wanaweza kukufanyia far ya mwezi mmoja tu,,sababu kiuhalisia hizo hela huzungushwa kwenye bihashara
 
Naomba kama kuna mdau yeyote mwenye namba za watu au mtu wa karibu bord ya mikopo anipe,tafadhali ninashida sana, namba ambazo ukipiga zina patikana na wanapokea hao HESLB
 
mjiogainise then mgome kuingia darasani,,,wanawekaga fixed account hao

wanafunzi wa st joseph ni waoga sana awawezi kugoma wana waogopa wahindi sana ndo mana mpaka sasa wameamua kutulia tu,uoga wao ndo unawaponza ngoja wapate cha moto:A S 13:
 
wanafunzi wa st joseph ni waoga sana awawezi kugoma wana waogopa wahindi sana ndo mana mpaka sasa wameamua kutulia tu,uoga wao ndo unawaponza ngoja wapate cha moto:A S 13:
umeonaee
 
wanafunzi wa st joseph ni waoga sana awawezi kugoma wana waogopa wahindi sana ndo mana mpaka sasa wameamua kutulia tu,uoga wao ndo unawaponza ngoja wapate cha moto:A S 13:

Upo sahihi 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…