St. Joseph registration imeanza

St. Joseph registration imeanza

Joined
Aug 6, 2014
Posts
87
Reaction score
14
Jaman ndugu zangu, wanaofahamu zaidi juu ya st. joseph university college engineering and technology(Dar). Naomba mnifahamishe chochote mnachokifahamu juu ya chuo hicho.

Natanguliza shukraan.

Chuo cha St Joseph itaanza registration from 2nd to 13th October kwaio wale walopata pale waangalie katika email zao wataletewa guide zitazowafahamisha receipt za kwenda nazo wakat wa registraion
attachment.php

attachment.php
 
Maisha fresh sana sem mitihan kwa kwenda mbeleeee kam olevel vile.kupelekeshwa na wahindi nishideer
 
jaman ndugu zangu, wanaofahamu zaidi juu ya st. joseph university college engineering and technology(dar). Naomba mnifahamishe chochote mnachokifahamu juu ya chuo hcho.

hiki ni chuo na wanafunzi wanaitwa wanachuo sio wanazuoni

else
 
muda unaopoteza jf unatosha kabisa kuingia website ya sjuit na kuangalia kila kinachokuhusu. unapenda kutafuniwa. hebu jitume mtoto wa kiume ww

Mwambie bwana eti anataka aambiwe hadi fee structure? Badae ataomba na ratiba ya masomo humu
 
WATANZANIA HUWA TUNA MOYO WA UPENDO, bt nyie cjui mmerithi roho ya nani? nyie mtakuwa m23 au boko haramu. kama hujui kitu bora utune
 
m cjui chochote mkuu pia kama kuna m2 anamajina ya hcho chuo aweke niangalie kwa no s2682/0212/2011!
 
unatakiwa uwe strict na ratiba...utoro hauruhucw cos hufany end exam kama unaattendance below 85%

maswala ya registration yawe on time....

huiingii class nyuma ya mwalimu.....

class ni saa mbili....
 
uwe makini kitabu cha hapa ni kigumu kidogo,nazani hii ni kutokana na asili ya masomo yenyewe
kuna mitihani=36 per semester
kuna practical za kutosha kila semester
kuna maswali ya mdomo wakati wa mtihani wa practical baada ya kufanya huo mtihani wanakuwa kama wanakufanyia interview(huku tunaita viva voce)
kila somo utafanya assignment 10 per semester@12=120
mengine mengi utayakuta
kwa swala la kitabu usiwe na wasiwasi usitishike na wanaoshinda humu kujitapa eti wapo UDSM wakati ni vilaza wa kutupa tukikutana nao kazini(nina ushahidi wa kutosha)
 
Back
Top Bottom