MSHALE KIUNONI
Member
- Aug 6, 2014
- 87
- 14
Chuo cha St Joseph itaanza registration from 2nd to 13th October kwaio wale walopata pale waangalie katika email zao wataletewa guide zitazowafahamisha receipt za kwenda nazo wakat wa registraion
Tukufahamishe nn sas @ mshale
Kuna Mbu wengi sana!
Maisha fresh sana sem mitihan kwa kwenda mbeleeee kam olevel vile.kupelekeshwa na wahindi nishideer
vp wa mwaka wa 1 kureport lini?
mwakani
jaman ndugu zangu, wanaofahamu zaidi juu ya st. joseph university college engineering and technology(dar). Naomba mnifahamishe chochote mnachokifahamu juu ya chuo hcho.
jaman ndugu zangu, wanaofahamu zaidi juu ya st. joseph university college engineering and technology(dar). Naomba mnifahamishe chochote mnachokifahamu juu ya chuo hcho.
kwel ww ni kibaka, mtu anapouliza anataka kujua. co kwamba kila anayetoa thread anatania. NAWASILISHA
muda unaopoteza jf unatosha kabisa kuingia website ya sjuit na kuangalia kila kinachokuhusu. unapenda kutafuniwa. hebu jitume mtoto wa kiume ww