St. Joseph registration imeanza

Ts the best place to be when t comes to practical competence..
Ila being busy ni 24/7..
Fungua moyo
 

Hutakiwi kudharau kisa kaenda pale ana Div.4 ila akitoka pale anatoka na Kitu kichwani? Hujawahi ona mtu shule ya msingi anafeli akiend secondary anafanya vizuri,hujawahi ona mtu anaenda form 5 ana division nzuri lkn anamaliza six na zero,jiulize Tanzania One 2006 from Tosamaganga High School ilikuaje akadisco Chuo (Udsm) halafu ambao hawakuwa ma-TO hawakudisco.
Kwa hiyo usidharau marks mtu anaanza nazo ila dharau pale anapomaliza anatoka na nini kichwani.
 
Sikia ww pimbi ngoja niwa£l£w£xh£ mana naona mnap£nda kumtol£aa mfano TO 2006 kihombo sio kwamba alidisco kwa kuf£l mtihan wala kihombo alisimamixhwa chuo kwa masuala ya nizamu kilaza ww hakudisco mana mnamuon£
a xana kila mfano mnamtol£a yy na kwa xaxa yupo pal£ udsm anaingia mwaka wa pil P£TROL£UM unaijua kwanza iyo kozi anhaaaa huijui kaa kimya dogo data tunazo na ukidanganya tunakutool£a uvivu....
 

Okey Genius wa Jf je unafikiri kwanini hakuwa na nidhamu? Je unafikiri kwanini anaingia mwaka wa pili sasa hivi,kuna kitu unahitaji kujifunza la sivyo utaishia kujiita mwenye akilo lkn kila siku huhitimu we kazi yako kuijua course outline na kuingia mwaka wa pili tu na kuona sifa kuijua Course outline na kuamini wenzio hawajui kitu.
 

Even God cannot Change the past.
 
mh vpi ubora wa st joseph ile campus ya arusha wakuu maana watu wanatutisha sana et chuo hakina ubora

Wapo wanamapinduzi pale kaka na dada zako walikuwa kwenye mgomo kwa miezi km 2 hivi wakishinikiza uboreshwaji wa mtaala na waalimu competent...
Karibu sana utakuwa mediator mzur ukifika pale
tuwasiliane nikutafutie chumba coz pale maisha ni yakitalii
 
Yan cikia iko iv masuala ya nizam mara nying ni hurka ya mtu mw£ny£w na tunatofautiana ndo mana hatufanan so nizam na acad£mic p£rfomanc£
ni vtu viwil tofaut cjui um£ni£l£wa hapo nazan um£ni£l£wa ww ulimtol£a mfano kuwa mtu ambay£ alixhindwa maxomo ndo mana nikakupa kisa kilichofanya aci£nd£l££ na pia kuwa mwaka wa pil ni kwamba hakuw£za £nd£l£a kwa miaka kazaa had mwaka juz alipoamua kw£nda ku£nd£l£a cjui um£ni£l£wa hapo
 
Jombaaa kama kuna mutu ana majna ya St.Joseph Arusha waliopata mkopo atusaidie kuyaweka humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…