Wanafunzi wa chuo cha st.joseph tawi la songea wamefanyiwa uzalilishaji na jeshi la polisi wavunjiwa milango na kutolewa nje wakiwa uchi wapigwa na kujeruhiwa vibaya majanga haya yamewakuta wanafunzi hao wakiwa wamekaa chini ya mti wakijadiliana ni namna gani serikali inawasaidia kutatua mgogoro wao na uongozi wa chuo. Kamanda wapolisi mkoa wa ruvuma awadanganya wandishi wa habari kuwa waliwarushia mawe eneo lenyewe jiwe kulipata ni ishu inaonesha kuwa serikari ya mkoa wa ruvuma haina lolote au chuo nichakwao wamechangia na wahindi ama kuna kitu kati ya mkuu wachuo na serikari huwez kupiga raia wako kwa ajili ya muwekezaji katili na mnyanyasaji ivi nyie ccm mnataka nini 2015 mnashindwa kutatua na hili dogo acheni kuharibu kura wakuu wa nchi mmefumba macho au ni wale wale mizigo?