leo siku ya tatu toka wanafunzi wa chuo cha mtakatifu joseph kilichoko mkoani ruvuma mkuu wa wilaya ajikanyaga kutoa tamko la serikar asema kwa kuwa wamefunga chuo na sisi tunakubali ashindwa kuonyesha msimamo wa serikar kuhusu mgomo huo wanafunzi wadai chuo kifutwe wahamishiwe vyuo vikuu na siyo extendend primary school inayoita majina jana na leo