St. Joseph University College of Agricultural Sciences and Technology (SJUCAST), Songea

St. Joseph University College of Agricultural Sciences and Technology (SJUCAST), Songea

amani91

Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
41
Reaction score
6
guys from ST JOSEPH ni update nimechaguliwa huku.:A S-key:
 
karibu sana anza kula kozi ya kuwasikiliza wahindi,ili ukija uku usipate shida ya lugha
 
Kumbe kuna chuo kikuu kingine cha kilimo tofauti na SUA? Vipi KATAVI University of Agriculture na yenyewe imechukua wanafunzi mwaka huu?
 
Kumbe kuna chuo kikuu kingine cha kilimo tofauti na SUA? Vipi KATAVI University of Agriculture na yenyewe imechukua wanafunzi mwaka huu?

Ndio mkuu ila sina info za kutosha kuhusu chuo hiki, Katavi hawakudahili mwaka huu.
 
Ndio mkuu ila sina info za kutosha kuhusu chuo hiki, Katavi hawakudahili mwaka huu.

Mkuu usiwaogopeshe vijana, niko kwenye bevarage industry kwa muda mrefusasa hawa vijana wanahitajika sana especially kwenye viwanda vya bia
 
Sorry Sunve nilitaka kumjibu Remote bahati mbaya haka kasimu ka mchina kamepick quote yako na siwezi kuedit kwa sasa

It's okay mkuu usijali, vipi unakifahamu vizuri hiki chuo?
 
Chuo nakifahamu ila sijasoma hapo kwa hiyo siwezi kukijua in details
 
Remote chali wangu umetokea wap unajua kkuhusu hii coz ka hujui nyooka mazee ni
:A S-fire1:.

think kabla huja post SAMAHANI SANA REMOTe
 
Last edited by a moderator:
Vipi kuhusu main campus yao (DSM)!? mazingila yakoje na je kwa wavulana kuna hostels kweli? maana kuna bwana mdogo kachaguliwa hapo nahitaji kumjuvya.
 
Back
Top Bottom