St. Joseph university in tanzania arusha

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
Habari!

wana jamvi chuo nilichokitaja hapo juu nimekikuta kwenye TCU kwa wale walioambiwa kurudia second round ya application nimekiona lakini chuo hiki kwenye GUIDE book ya tcu hakipo pia Chuo hiki nakionyeshi Amount ya karo pia Amount ya Mkopo ni ngapi hususani coz ya Bsc in education with chemistry vyote hivyo vimeandikwa 0.

Je kuna mwenye habari nacho chuo hiki?
 
Mie navyojua hivyo ni vyuo vya engineering na viko Dsm na Songea, kuhusu icho cha Arusha na pia ubora wa elimu itolewayo na vyuo hivi sifahamu.
 
ni ukweli kabisa hicho chuo kipo ni tawi ya arusha ila kinaanza mwaka huu,,,hawa jamaa wameanza kutoa na fani za elimu lakini kwa sayansi pekee
ST JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA (COLLEGE OF EDUCATION ARUSHA)
 
Nawaomba mue makini na hawa wahind,ni wa2 ambao wamekaa kipesa zaidi.
 
mi mwenyewe hicho chuo sikielewi maana hata selection zake hazipo kwenye tovuti ya st joseph
 
hata celew kinafunguliwa lini kwa wale wa first year. tusaidiane jaman
 
kaka hiki chuo kipo na loan amount ipo.mm nmechaguliwa na nme2miwa sms ya kujiunga na selection ipo kwenye mtandao wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…