Mpaka sasa wanafunzi wa mwaka wa pili hakuna kinachozungumzwa kuhusu boom cjui wanatutakia nn maana tumehishiwa tunafukuzwa kwenye nyumba tulizopanga Kodi mkataba umekwisha,tunakula kwa taabu. Je! hii ni haki?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.