St. Joseph university in Tanzania na mkopo

mikiray

Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
50
Reaction score
4
Mpaka sasa wanafunzi wa mwaka wa pili hakuna kinachozungumzwa kuhusu boom cjui wanatutakia nn maana tumehishiwa tunafukuzwa kwenye nyumba tulizopanga Kodi mkataba umekwisha,tunakula kwa taabu. Je! hii ni haki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…