st. Joseph university in tanzania tukutane hapa

Aaaah....aaaaah!we uliyechaguliwa songea campus karibu xana.Maisha sio juu ki vile.then songea n km 950 from DSM &chuo n kama 7km from songea town.

inabidi uyo kijana 2msaidie apate chumba maeneo ya ruwiko karibia na chuo kaka....songea ful wali mgebuka..dogo welkame st.joseph in songea
 
acha utani bro mwaka wa nne india anafuata nini na unajiripia au?
Halafu et hii falcut ya electronics and communication eng v/s electrical and electronics eng ipi ni best zaidi?

Ni kweli ukifika mwaka wa nne kuna safari ya kwenda india, kumalizia semester ya mwisho, hapo inategemea na mfuko wako, utachangia kama 6.5 million, na kuhusu hizo facult zote ni nzuri tu.
 
Duu hata mm nataraji kuingia songea,,wakuu tasaidiane tafadhali!,nahitaj more info maisha ya huko kiujumla yapo vp? Kuna hostels au?? Gharam za kupanga zipoje? N more,,msaada pliz!
 
Duuu welcome to ngoni city songea kuko poa sana maisha yapo cheep ukiwa na boom ndo poa zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…