josephina mapunda
Member
- Jun 24, 2013
- 37
- 1
jaman naomba msaada wa mchanganuo wa mahitaji na jumla ya ghalama za fedha ktk chuo kikuu st.joseph nakama mtu anatetes zozote kuhusu joining instructions.
mbna join zmetoka.angalia kwenye email yako wamekutumia au tafuta thread fulan humu wameziweka
josephina umechaguliwa coz gani?
umemaliza diploma au ni form six?
Vyuo vya kishenzikishenzi vinaleta kera,ada kubwa elimu mbovu,
unatafuta mume?hupati ng'o