Mjomba wa taifa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 231 Reaction score 161 Aug 3, 2012 #1 Baada ya kutumia Mahakama kuzima mgomo wa Walimu, sasa walimu wameibuka na style nyingine ya mgomo. Hapa watakaoumia ni watoto wa shule za St. Kayumba. Sijui madaktari nao wataibuka kwa style ipi!!
Baada ya kutumia Mahakama kuzima mgomo wa Walimu, sasa walimu wameibuka na style nyingine ya mgomo. Hapa watakaoumia ni watoto wa shule za St. Kayumba. Sijui madaktari nao wataibuka kwa style ipi!!
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,804 Reaction score 12,227 Aug 3, 2012 #2 St janjajanja.