st marks.....tawi la st johns

sammgeni

Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
50
Reaction score
4
jamani naomna mwenye info kuhusu selection na reporting day za hiki chuo anipe sababu sijui niangalie wapi....
 
Nenda internet cafe nunua muda wa kutumia internet,google St.John's University of Tanzania utapata tarifa zote.Jifunze kujishughulisha,usingoje kutafutiwa kila kitu.Hii ni Karne ya kukimbia siyo kutembea.
 
st johns nimeingia bt hizo za st marks hakuna
 
Ingia website ya st John unv kisha kuna sehemu wameandika st Mark bofya hapo utapata kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…