St. Matthew's secondary school class of 2012

Edsger wybe Dijkstra

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2019
Posts
244
Reaction score
491
Niaje wadau, nawatafuta waliomaliza form 4 mwaka 2012 pale St. Mathews kwa boss Mutembei mwaka 2012. Asee wadau nimewamiss sana, the likes of Mr. Kaskazi, Mutembei, Mr Bokole, Muhikwa, tule teacher wa physics nani vile? Aaah Moses, yeye akiwa anachapa anadindisha, Madam Nkya etc.

Wanafunzi namkumbuka Vice Milliel mabelele toto zuri kweli la kitutsi, Chacha, Meela, Bibo! Swalha, Elia mbiu/Msigwa. Mani alonga, Ikula, Chungu, Timothy David Mubaba, Abeli hamisi, patron bendera nk. Asee it has been a long long long time, how is life?
 
Shamira Mshangama unampata?

Alikuja kuwa Vice president wa UDSM
 
Mimi nawakumbuka wote na vile vichwa na wababe wa mpira kudere na Cambodia.

Wakina Tariq Mohamed, Side msosa (winga mreno), Kigaigai wakina Jimmy Ulenga na Osmund Mgaya. Balaa sana vijana hawa. Walitikisa 2012.

English ya Mr kaskazi. Daaah mr. Bokole, man kuchimba hahaaaaa
 
Mimi nawakumbuka wote na vile vichwa na wababe wa mpira kudere na Cambodia.
Wakina Tariq Mohamed, Side msosa (winga mreno), Kigaigai wakina jimmy ulenga na osmund Mgaya. Balaa sana vijana hawa. Walitikisa 2012.

Big up sana bro, Kudere na combadia enzi za kina Lau, osmund,samwel, nk
 
Mimi nawakumbuka wote na vile vichwa na wababe wa mpira kudere na Cambodia.
Wakina Tariq Mohamed, Side msosa (winga mreno), Kigaigai wakina jimmy ulenga na osmund Mgaya. Balaa sana vijana hawa. Walitikisa 2012.
English ya Mr kaskazi. Daaah mr. Bokole, man kuchimba hahaaaaa
Duh hadi Saidi Kuchimba u amkumbuka? Asee hatari sana maaani kuchimba!
 
Kweli nimezeeka 2012 unasema long long time. Btw hongereni.
 
Kilichokuwa kinaniudhi ile shule ni ule mtindo wa ku-fight msosi
St Mathews kufight ni kila sehm mpk chooni kule hostel ya boys ukichelewa kidgo tu watu washajaa, unashtukia dimvi limeanza kugonga kwenye boxer.
 
Niaje wadau, nawatafuta waliomaliza form 4 mwaka 2012 pale St. Mathews kwa boss Mutembei mwaka 2012. Asee wadau nimewamiss sana, the likes of Mr. Kaskazi, Mutembei, Mr Bokole, Muhikwa, tule teacher wa physics nani vile? Aaah Moses, yeye akiwa anachapa anadindisha, Madam Nkya etc.

Wanafunzi namkumbuka Vice Milliel mabelele toto zuri kweli la kitutsi, Chacha, Meela, Bibo! Swalha, Elia mbiu/Msigwa. Mani alonga, Ikula, Chungu, Timothy David Mubaba, Abeli hamisi, patron bendera nk. Asee it has been a long long long time, how is life?
Una jina la Kidachi, meneer.
 
Back
Top Bottom