Edsger wybe Dijkstra
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 244
- 491
Kaolewa sasa na yule coordinator wa wasafi. Somebody KyandoShamira Mshangama unampata.?
Alikuja kuwa Vice president wa udsm
Nampata sana huyo. Tulikua wote pale jalalaniShamira Mshangama unampata.?
Alikuja kuwa Vice president wa udsm
Big up sana bro, Kudere na combadia enzi za kina Lau, osmund,samwel, nkMimi nawakumbuka wote na vile vichwa na wababe wa mpira kudere na Cambodia.
Wakina Tariq Mohamed, Side msosa (winga mreno), Kigaigai wakina jimmy ulenga na osmund Mgaya. Balaa sana vijana hawa. Walitikisa 2012.
English ya Mr kaskazi. Daaah mr. Bokole, man kuchimba hahaaaaa
Duh hadi Saidi Kuchimba u amkumbuka? Asee hatari sana maaani kuchimba!Mimi nawakumbuka wote na vile vichwa na wababe wa mpira kudere na Cambodia.
Wakina Tariq Mohamed, Side msosa (winga mreno), Kigaigai wakina jimmy ulenga na osmund Mgaya. Balaa sana vijana hawa. Walitikisa 2012.
English ya Mr kaskazi. Daaah mr. Bokole, man kuchimba hahaaaaa
Jamaa ndo hivyo alivyokuwa akiwa amekasirika anadindisha.Eti anachapa halafu anadindisha...
Duh hawa mbona siwakumbukiMr Bujeje mnamjua? Maduhu je?
Duh hawa mbona siwakumbuki
Ooh wapo Advance kuleDuh hawa mbona siwakumbuki
Mshana mlevi sana yule ,mke wake sasa, sijui alishikishwa?Mwalim Mshana yule mzee kigari chake kidogoo alikuwa anagonga wanafunzi opener za kichwa[emoji23][emoji23]
Advance namfahamu mwamba mmoja tu, MUBA !Ooh wapo Advance kule
Kilichokuwa kinaniudhi ile shule ni ule mtindo wa ku-fight msosiMshana mlevi sana yule ,mke wake sasa, sijui alishikishwa?
Jamaaa kapata mke haswa.Kaolewa sasa na yule coordinator wa wasafi. Somebody Kyando
St Mathews kufight ni kila sehm mpk chooni kule hostel ya boys ukichelewa kidgo tu watu washajaa, unashtukia dimvi limeanza kugonga kwenye boxer.Kilichokuwa kinaniudhi ile shule ni ule mtindo wa ku-fight msosi
Vipi Game inaendaje mkuu.Nampata sana huyo. Tulikua wote pale jalalani
Una jina la Kidachi, meneer.Niaje wadau, nawatafuta waliomaliza form 4 mwaka 2012 pale St. Mathews kwa boss Mutembei mwaka 2012. Asee wadau nimewamiss sana, the likes of Mr. Kaskazi, Mutembei, Mr Bokole, Muhikwa, tule teacher wa physics nani vile? Aaah Moses, yeye akiwa anachapa anadindisha, Madam Nkya etc.
Wanafunzi namkumbuka Vice Milliel mabelele toto zuri kweli la kitutsi, Chacha, Meela, Bibo! Swalha, Elia mbiu/Msigwa. Mani alonga, Ikula, Chungu, Timothy David Mubaba, Abeli hamisi, patron bendera nk. Asee it has been a long long long time, how is life?