St. Peter to Masaki; Mkandarasi funika Check point zako zitaleta hathari

St. Peter to Masaki; Mkandarasi funika Check point zako zitaleta hathari

Black BackUp

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
717
Reaction score
666
Habari zenu,

Ujenzi unaoendelea wa bomba kubwa likitoketa st peter kuelekea Masaki ambapo ujenzi huo unajumuisha pamoja na makaro/ mashimo makubwa kama check point za mradi tafadhali zifunikwe mapema maana zitaleta hathari kwa wanafunzi wa shule za msingi za maeneo hayo hasa shule ya msingi Bongoyo.

Ni kweli utepe (Red danger tape) umezungushwa katika mashimo hayo kuonesha ni hatari lakin watoto wetu hawana uwelewa huo, matokeo yake wameukata utepe huo na wanakua wananing’inia kuchungulia katika mashimo hayo.

Tafadhali mashimo yafunikwe haraka ili yasilete hadhari kwa watoto wetu.

Mimi Raia Mwema

Nawasilisha

IMG_1924.jpeg
IMG_1923.jpeg
 
Serikali yetu hii itasubiri wafariki Kama wale waliosombwa na maji ya mto ili wagharamikie mazishi.
 
Back
Top Bottom