St PIO kibaigwa inasikitisha

St PIO kibaigwa inasikitisha

mmc

Senior Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
109
Reaction score
35
Hii ni shule ya sekondari ya mchanganyiko,tar 19.10 ilikuwa ni graduation kw kidato cha nne,wazaz waliwapelekea zawad mbalimbal watoto wao lakin izo zawad zimesababish watoto wao kulia mana jana wamesimamishw masomo mpak tar 3 watot 28 na kupigwa viboko sana kw kuw na kosa lolote kati ya haya;memory card,chaja ya sim,sim,km ulipga picha y poz kweny graduu,una nguo fup umepew zawad nk. Na shule imetaifish vitu ivo vyote. hu si uonezi? BIG RESULT INAWEZEKANA?
 
Serikali ebu wasaidieni hao watoto,wazaz wanalipa àda kwa kushinda shambani na jua hili kali
 
Huna weredi wa kueleza jambo lieleweke, kwa hiyo husomeki.
 
Serikali ebu wasaidieni hao watoto,wazaz wanalipa àda kwa kushinda shambani na jua hili kali

Haiwezi kuhalalisha watu kuvunja sheria,taratibu na kanunu za shule!
 
Back
Top Bottom