Hii ni shule ya sekondari ya mchanganyiko,tar 19.10 ilikuwa ni graduation kw kidato cha nne,wazaz waliwapelekea zawad mbalimbal watoto wao lakin izo zawad zimesababish watoto wao kulia mana jana wamesimamishw masomo mpak tar 3 watot 28 na kupigwa viboko sana kw kuw na kosa lolote kati ya haya;memory card,chaja ya sim,sim,km ulipga picha y poz kweny graduu,una nguo fup umepew zawad nk. Na shule imetaifish vitu ivo vyote. hu si uonezi? BIG RESULT INAWEZEKANA?