M Mwakasimba Member Joined Mar 16, 2014 Posts 10 Reaction score 2 Dec 15, 2014 #1 wadau naomba kuulizia mtu mwenye kujua kama chuo hiki kimesajiliwa ama laa maana nahitaji kusoma pale isije ikawa nitapoteza muda!
wadau naomba kuulizia mtu mwenye kujua kama chuo hiki kimesajiliwa ama laa maana nahitaji kusoma pale isije ikawa nitapoteza muda!
ngoogle JF-Expert Member Joined Dec 5, 2012 Posts 209 Reaction score 56 Dec 15, 2014 #2 Mwakasimba said: wadau naomba kuulizia mtu mwenye kujua kama chuo hiki kimesajiliwa ama laa maana nahitaji kusoma pale isije ikawa nitapoteza muda! Click to expand... Mimi napita, subir watakuja wanaojua ulichouliza
Mwakasimba said: wadau naomba kuulizia mtu mwenye kujua kama chuo hiki kimesajiliwa ama laa maana nahitaji kusoma pale isije ikawa nitapoteza muda! Click to expand... Mimi napita, subir watakuja wanaojua ulichouliza
M Mwakasimba Member Joined Mar 16, 2014 Posts 10 Reaction score 2 Dec 15, 2014 Thread starter #3 ngoogle said: Mimi napita, subir watakuja wanaojua ulichouliza Click to expand... hahaha poa si unajua ni heri kujiami kuliko kupoteza pesa na muda, hasa kikubwa muda!
ngoogle said: Mimi napita, subir watakuja wanaojua ulichouliza Click to expand... hahaha poa si unajua ni heri kujiami kuliko kupoteza pesa na muda, hasa kikubwa muda!
Magnificient JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 1,162 Reaction score 705 Dec 15, 2014 #4 Hakijasajiliwa. Tembelea tovuti ya NACTE kuangalia vyuo vilivyosajiliwa, au wapigie simu au watembelee ofisini kwao
Hakijasajiliwa. Tembelea tovuti ya NACTE kuangalia vyuo vilivyosajiliwa, au wapigie simu au watembelee ofisini kwao
M Mwakasimba Member Joined Mar 16, 2014 Posts 10 Reaction score 2 Dec 16, 2014 Thread starter #5 Magnificient said: Hakijasajiliwa. Tembelea tovuti ya NACTE kuangalia vyuo vilivyosajiliwa, au wapigie simu au watembelee ofisini kwao Click to expand... asante mdau
Magnificient said: Hakijasajiliwa. Tembelea tovuti ya NACTE kuangalia vyuo vilivyosajiliwa, au wapigie simu au watembelee ofisini kwao Click to expand... asante mdau