KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Kwa 95% mwanaume atamwacha mwanamke wake iwapo mwanamke huyo ataacha kumpa mwanaume unyumba.
- 95% ya wanawake wanawaacha Wanaume zao pale Wanaume zao wanapoacha kuwapa pesa. .
- 5% ya wazazi hawawakubali wapenzi wa watoto zao .
- Anayekwambia "sitaweza kuishi bila wewe" ataendelea kuishi maisha yake ya furaha hata bila uwepo wako.
- Wasichana warembo wana ndoto za kuelewa na wanaume matajiri.
- Wanaume wenye utajiri mkubwa wanawachukulia wasichana wao kama midoli, na hawana mapenzi ya kweli.
- Watu waliozama kwenye huba wataona maneno yangu ni ya kiboya, hadi watakapopigwa kibuti akili zikikaa sawa wataelewa ninachokimaanisha.